Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Jamani nilikuwa hali Mbaya Mbaya du!
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Haya Ndiyo Madhara Ya Kubebwa!! Ukichanika Mbeleko Unaishia Kupakatwa!! Hongera Simba Licha Ya Unaa Muliofanyiwa Lakini Still Mumeweza Kuonesha Ubora Mbele Ya Kandambili.
Kiukweli Leo
Uzalendo ulitaka kunishinda kabisa
Refa alitufanyia figisu kubwa du!!
 
Back
Top Bottom