Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Simba Simba weeee Simba weeeeee ngrrrrrrrrr nghrrrrrrre
 
Ndio maana wakaitwa watani wa jadi Mimi napendekeza tubadili ili neno waitwe watani wa Salome
 
Dah!..sijui hawa Yanga mbinu hii ya kucheza na refa wataiacha lini?kucheza pungufu muda wote huo sio masihara...!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom