KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nimejua kwanini yanga ilikuwa nyanya kombe ka shirikisho , kumbe bila kubargain hawawezi chochote .
Kichunyaaaaaaaaaa......!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejua kwanini yanga ilikuwa nyanya kombe ka shirikisho , kumbe bila kubargain hawawezi chochote .
Kiukweli Leo
Uzalendo ulitaka kunishinda kabisa
Refa alitufanyia figisu kubwa du!!
Umesha fungiwa auNina uhakika na nini ninachsema.
dakika ya themanini na saba tumefutwa machozi'asante kichuya'goli halali kukataliwa, nyie kupewa goli la mkono, sisi red card ya ajabu na washabiki wetu kupunguzwa lakini mmeutafuta kwa tochi
Umebebwa hukubebeka unataka nini Teena???
Hata kwa gori la mkono Yanga mbele daimaUmebebwa hukubebeka unataka nini Teena???
Walibebewa Tambala Bovu Ndomana Likachanika Njiani Hatimae Wamepenya Kichuya Akawabamba Kiulaini.
Hata kwa gori la mkono Yanga mbele daima
Kesho nkavunje kibubu baada ya kupgwa fain ya uharibifu wa wanja
goli likoje, maana nilikasirika nikaondoka kibandanidakika ya themanini na saba tumefutwa machozi'asante kichuya'