Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Najaribu kuangalia tofauti ya uandishi wako wa kuonyesha goli la Yanga na lile la Simba
Mkuu hili ni jukwaa la watu , mimi nilianzisha na kiasi fulani niliweka updates , lakini kwa kiwango kikubwa moderator waliweka yao pia , kwa mfano hii uliyoniquote sikuiandika mimi .
 
nimeona line up ya timu zote mbili, yanga anashinda ila kama atafungwa au kudroo naomba lawama zote zimwendee Hans Van da Plujim kwa kupanga kikosi kama alivyopanga, kwa kumweka benchi dida, dante, na niyonzima. dante hayupo kabisa ata benchi
nilisema, kumweka benchi dida na dhahama, ilo goli la kona dida angecheza
 
Dah!..sijui hawa Yanga mbinu hii ya kucheza na refa wataiacha lini?kucheza pungufu muda wote huo sio masihara...!

Na Yule Waziri Anaehusika Na Dhamana Ya Mapolisi Baada Ya Kuona Kandambili imevaliwa Mkononi Badala Ya Mguuni kwa ajili Ya Kufungia Mkono Ndiyo Kaona Bora Apigie simu Polisi Wake ili Wawapunguze Mashabiki Wa Simba Kwa Kuwatupia Mabomu ya Machozi!
Na ndiyomaana Simba ilikuwa na Wachezaji Pungufu na Mashabiki Pungufu Lakini tu Mpira Mguuni Ulikuwa Kamili.

Hata Hivyo Nakemea Kung'olewa Kwa Viti Uwanjani.
 
Wanabebwa lkn ndio hivo.
IMG-20161001-WA0024.jpg
 
Malinzi lazima ango'ke ili mpira wa tanzania uendelee...haiwezekan refaa ambaye katoka kufungiwa kwa kuchezesha mpira vibayaa afu leo anapewa deby kuchezesha....ila tunataka tuwambie nyinyi mnaobebwa na tff yakuwa simba au mnyama hakuna wa kumzuia kubeba kombe
 
Nimaajabu sana kuona washabiki wanashangilia tena kwa nguvu zote wakati team yao imetoka sare ila leo Taifa ndivyo ilivyotekea nimejaribu kuwauliza washabiki wengi wa Simba kwanini wanashangilia wakanambia eti "Bao la mkono limewatia doa" ooooh kuuumbe kama ni hivyo basi kweli mnastahili pia kupewa pole kwa kutupiwa kitu kwa mkono [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom