wa mchangani wanashangilia droo
Wabebwaji nyie Yanga! Hamna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa mchangani wanashangilia droo
Wakimataifa wapo 11 uwanjani dhidi ya 10, lakini wanapaki basi!wa mchangani wanashangilia droo
saa hizi ndo mnaibuka, tulieni aseeWabebwaji nyie Yanga! Hamna jipya
Stand United haooo wanakujasaa hizi ndo mnaibuka, tulieni asee
Mkuu hili ni jukwaa la watu , mimi nilianzisha na kiasi fulani niliweka updates , lakini kwa kiwango kikubwa moderator waliweka yao pia , kwa mfano hii uliyoniquote sikuiandika mimi .Najaribu kuangalia tofauti ya uandishi wako wa kuonyesha goli la Yanga na lile la Simba
nilisema, kumweka benchi dida na dhahama, ilo goli la kona dida angechezanimeona line up ya timu zote mbili, yanga anashinda ila kama atafungwa au kudroo naomba lawama zote zimwendee Hans Van da Plujim kwa kupanga kikosi kama alivyopanga, kwa kumweka benchi dida, dante, na niyonzima. dante hayupo kabisa ata benchi
tatizo lipo wapi ikiwa kocha kaona mfumo unafaaWakimataifa wapo 11 uwanjani dhidi ya 10, lakini wanapaki basi!
Dah!..sijui hawa Yanga mbinu hii ya kucheza na refa wataiacha lini?kucheza pungufu muda wote huo sio masihara...!
ndo nani?Stand United haooo wanakuja
imepigwa kona na Kichuya moja kwa mojagoli likoje, maana nilikasirika nikaondoka kibandani
Rangi za laanaWazee wa mbeleko wamshukuru refa kwa kuwazadia goli la mkono