Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

GOOOOOOOOOOOOO Dk 69, Chirwa anaiandika Yanga bao safi hapa baada ya shuti la Msuva, Kado akatema na yeye akaunganisha
 
Dk 72, mpira umesimama, mwamuzi wa akiba anatibiwa hapa

Dk 70, Yanga wanaingia tena na kulisakama lango la Mwadui, MSuva aanachia shuti tena, Kado anaokoa
 
Dah bora, Asante Chirwa umetuokoa baba. Weekend ingeisha vibaya hii. Tungewapa mikia la kuongea. Bora waendelee kukaa mafichoni hakuna namna.

Yanga daima mbele, nyuma mwiko kama mkia.
 
Hili kombe mwaka huu tulikuwa hatulitaki, ni simba tu wametulazimisha kulichukua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Avatar yako ni moja kati ya watu niwapendao na kuwaheshimu Duniani.
Asante
 
Back
Top Bottom