Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli goli?Oyoooooooooooooo hiyo ndiyo Yanga bwana.
Asante Chirwa
Yanga 1-0 Mwadui
Ni kweli goli?
Nikwambie kitu Nifah?Kiukweli Yondan anapanda vyema sana.
Jamaa yuko njema.
Msuva nae mbio zake sio mchezo
Alhamdulillah
Vipi unasemaje Mkuu?Utanipa tawire tu
Nawezaje kudanganya Mkuu?Ni kweli goli?
Bila shaka Mkuu...Nikwambie kitu Nifah?
Kwann unaipenda yanga?Bila shaka Mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Avatar yako ni moja kati ya watu niwapendao na kuwaheshimu Duniani.Hili kombe mwaka huu tulikuwa hatulitaki, ni simba tu wametulazimisha kulichukua
Kaka mkolaj umepotea sana. Karibu tena...Kila la kheir timu ya Wananchi Dar Young Africans.