SIKUHIZI SIPENDI SANA KUZUNGUMZIA MASUALA YA MIPIRA LAKINI. simba Inashida nyingi Mno kimuundo na Kiuongozi.
NDANI YA UWANJA.
1. Simba haina Golikipa
Ilimuacha Camara kwasababu ha Mkurupukaji Magori.
Yule mzee ni kichaa kabisa.
2. Simba ilihitaji Beki wa Maana wa kushoto (No3 ) wa kigeni
Ilitakiwa imkate Katleso Mapema sana.
Yule mchezaji ni Tapeli na mzigo mkubwa kwa Simba.
3. Simba inahitaji kiungo Mkabaji wa kigeni, kiungo No 6)
Kitendo cha simba kubaki na Neo Maema. Ni ujinga na Upumbavu wa Viongozi wa Simba.
Yule mchezaji hana Faida yoyote ndani ya Simba.
4. Eneo la Ushambuliaji.
Walitakiwa wapate Straiker kutoka Congo.
Wangeachana na Huyo Dumbia.
Alafu Mo alivyokuwa Tapeli anakwambia Usajili wa Bilioni 5.
Hapo hapo anasema Pesa ipo Bank.
SIMBA ITATOKA MAPEMA SANA CAF CHAMPIONS LEAGUE.
NAIONA SIMBA IKIMALIZA NAFASI YA 3 NBC.