Hizo kanuni kwenye ligi yetu hakuna.Kanuni zinasemaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kanuni kwenye ligi yetu hakuna.Kanuni zinasemaje mkuu?
Ahsante kwa mapendekezo yako ila kama kuna kanuni za kumtangaza bingwa kwa mazingira kama haya huo sio mteremko.
Nyoro FC ...Corona inaisha ..mwezi wa sita kinapigwa na mechi zenu zote tunaweka mkono ..usichezee mafiosoUtopolo fc inawauma sana hoja kama hii
Alisikika shabiki mmoja kutoka madimbwiniMapendekezo yangu ni
Ligi imaliziwe
Mazingira yakiwa sio rafiki
Ligi ifutwe
Maana kwa mujibu wa Kanuni bingwa anapatikana baada kila timu kucheza na kila timu nyumbani na ugenini na anayemaliza mechi zote akiwa na alama nyingi zaidi ndio anakuwa bingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Tanzania ,Hilo nalo linawezekana!Timu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.
Mwenye point nyingi atangazwe bingwa.
duhTimu zote zipewe point 3 magoli matatu kwenye mechi zote zilizo baki.
Mwenye point nyingi atangazwe bingwa.