Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wameishiwa akiliHao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameishiwa akiliHao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
Nilichogundua wanaolalamikia ratiba ni Yanga. Mnaogopa nini?Hiyo Mapinduzi Cup kama mpaka fainali ni siki kama 12, hizo 19 za Januari zinafanya kazi gani?
Vipi raundi ijayo hawatakuwepo kutusaidia?Mkuu ni swala la muda tu. Kwa timu yenu ilivyo labda mfanye usajili ila kama itaendelea hii nauhakika ni bodi wamewasaidia tu mnaketi hapo kwa muda wote huo kwa sababu ya ratiba
Unasema??Nilichogundua wanaolalamikia ratiba ni Yanga. Mnaogopa nini?
Nina uhakika kikosi cha CHAN watapelekwa wachezaji wazoefu wa Simba, Yanga na Azam. Ni mwaka wa kampeni huu, kombe inabidi libaki Tanzania.