Hao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
Mkuu ni swala la muda tu. Kwa timu yenu ilivyo labda mfanye usajili ila kama itaendelea hii nauhakika ni bodi wamewasaidia tu mnaketi hapo kwa muda wote huo kwa sababu ya ratiba