nellwan
JF-Expert Member
- Mar 17, 2016
- 378
- 682
Bora yangekuwa ya kichwawi. Ni magoli ya M-PESAMtasema magoli ya kichawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yangekuwa ya kichwawi. Ni magoli ya M-PESAMtasema magoli ya kichawi
Kama we uliangalia inatosha kabisa...3-0, mpira unaendeleaGoli la 3 offside ya wazi kabisa tifutifu waangalie hilo
Zingatieni makubaliano ya goli 3 tuSimba tulieni muone soka la yanga,acheni porojo porojo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo ilikuwa kikazi sasa yamekuwa makazi.Siku hizi umehamia kabisa eneo korofi sioni makeke yako kabisa
Usianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na OkwiiiiiiHamkosagi maneno nyie. Msimu uliopita tumewapiga 2 halafu 2, hakupatikana mwanaume wa kubwabwaja tuliwapa sh ngapi, ila akifungwa Ndanda ndio mnajishaua
Mkuu Kahaba, kama hutaki historian, basi faidi current affair, and that is 3-0, dkk ya 57 na mpira unaendeleaUsianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na Okwiiiiii
Tujikite Update ya Mkodisho FC na Ndanda FC sawa mkuu.!?
Kama alilofunga Mkhitaryan juzi ?Goli la 3 offside ya wazi kabisa tifutifu waangalie hilo
Yanga hawahitaji hisani wewe, hebu jichunguze. Sisi tunataka tuendelee kuwapumulia kisogoni hadi ibaki mechi 2 ndio tusanueKwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
Tupe Na wafungaji mkuu.Umbea kazi ngumu, lkn Simba wanaupenda