Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

Hamkosagi maneno nyie. Msimu uliopita tumewapiga 2 halafu 2, hakupatikana mwanaume wa kubwabwaja tuliwapa sh ngapi, ila akifungwa Ndanda ndio mnajishaua
Usianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na Okwiiiiii

Tujikite Update ya Mkodisho FC na Ndanda FC sawa mkuu.!?
 
Usianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na Okwiiiiii

Tujikite Update ya Mkodisho FC na Ndanda FC sawa mkuu.!?
Mkuu Kahaba, kama hutaki historian, basi faidi current affair, and that is 3-0, dkk ya 57 na mpira unaendelea
 
Leo yanga raha teleeeee,huyu Emmanuel huyu yupo sawa hasaa
 
Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
 
Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
Yanga hawahitaji hisani wewe, hebu jichunguze. Sisi tunataka tuendelee kuwapumulia kisogoni hadi ibaki mechi 2 ndio tusanue
 
Ha ha ha.... namna gani hapa Zulu anajipiga chenga mwenyewe na mpira unakataa...bila shaka pesa imeenda bure hapa
 
Dah.... washabiki wenyewe wa Ndala FC hapa uwanjani hawana furaha sana kama ilivyozoeleka .. yaani mechi kama imetengenezwa vile

Hii mechi ina ukakasi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…