Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
Mbona unajichanganya mara msimu huu, mara msimu huo au madeni yanakuvuruga..!?
Kumbeeeeeeeee!!!!!Kwa taarifa yako Ndanda inafadhiriwa na Kigogo wa friends of Simba, na kama hujui Ndanda hajawi toa hata droo na Simba yeye akikutana na Simba anakenua si nyumbani wala ugenini.
makubaliano yalivunjwa nn maana zilipatikana zaidi ya 3Makubaliano ni goli tatu tu