libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
Kwa taarifa yako Ndanda inafadhiriwa na Kigogo wa friends of Simba, na kama hujui Ndanda hajawi toa hata droo na Simba yeye akikutana na Simba anakenua si nyumbani wala ugenini.