Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

b680c18e2adacde2220f66b319f4a83d.jpg


Asante Mbao Bashite rApa
kuongoza 2 hadi DK 80 mnakuja kufungwa ama kweli nyie ni mabashiteeeRAPA[/]
ALIONGOZA yANGA NA REDCARD . akapigwa ukuni
 
Kafara tulilolifanya hapo dakika 12 za mwisho ambazo ndizo zimetupatia huo ushindi ni balaa na kuna ' Kiongozi ' mmoja wa Simba alibeba ' mzigo ' na akasogea hapo karibu na Benchi la ufundi na baada ya goli la 3 kuingia ' Kazimia ' na sasa yupo chumbani anafanyiwa mambo yetu ya Kiswahili kwani Mbao FC wamefukia vitu vibaya sana hapo Uwanjani jana usiku. Viongozi wote wa Simba waliogopa kubeba huo ' mzigo ' ila huyo Kiongozi wa matawi wa Dar es Salaam kwa mapenzi yake makubwa kwa Simba alikubali kubeba na tunamshukuru mno kwani bakora zingelika sana leo.
Huu ni mpira wa karne ya nne
 
Yaani Roma kaniudhi na sasa mbao wananifanya nilale mapema but niwakumbushe tu mikia Yanga hua hana mchezo mwishoni mwa ligi,hili mlikumbuke
Yanga mke au mchumba wa Simba na waarabu Hana madhara
 
Ila watu mna mbwebwe, zile mbili zilikuwa zimeshachafua hali ya hewa sasa naona watu wametoka mapangoni huko!
Aisee wanasimba tokeni huko mapangoni njooni bana msiogope!
Ubingwa tunabeba!!!
 
Bora Wangekuwa Kuni Tupikie, Kelele Za Mikia Hatutalala Mtaani Leo
 
Jaman mwenye lile ngalawa la jangwan atupie mvua bado zinanyesha mbao zimeliwa leo hawatoki
 
Nakusogezea live updates kutoka Mwanza CCM Kirumba katika ya Mbao FC vs Simba SC

======

MWANZA: Mchezo umekwisha na Simba wameibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mbao FC iliyokuwa inaongoza kwa goli 2 kabla ya mapumziko ‬
Nb: Tff mukiipa point za bure Simba sc zidi ya kagera tutakata rufaa Fifa
Faaaaa######laaaaa weeeerr
 
Back
Top Bottom