Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Hujuma hizi dakika 7 duuh
Mbao walijidanganya kwa kulala lala hovyo ili kupoteza muda kumbe hawajui team inayosaka ushindi kwa hali na mali dakika za majeruhi ndio inacharuka zaidi maana hawana chakupoteza

Anyways imewa cost na Simba walipopata goal moja tu nilijua lazima watoe draw au washinde
 
b680c18e2adacde2220f66b319f4a83d.jpg


Asante Mbao Bashite rApa
kuongoza 2 hadi DK 80 mnakuja kufungwa ama kweli nyie ni mabashiteeeRAPA[/]
 
Bora isee,maana tunapigana huku mtandaoni na keptain wetu sembo katutoroka.
 
Kafara tulilolifanya hapo dakika 12 za mwisho ambazo ndizo zimetupatia huo ushindi ni balaa na kuna ' Kiongozi ' mmoja wa Simba alibeba ' mzigo ' na akasogea hapo karibu na Benchi la ufundi na baada ya goli la 3 kuingia ' Kazimia ' na sasa yupo chumbani anafanyiwa mambo yetu ya Kiswahili kwani Mbao FC wamefukia vitu vibaya sana hapo Uwanjani jana usiku. Viongozi wote wa Simba waliogopa kubeba huo ' mzigo ' ila huyo Kiongozi wa matawi wa Dar es Salaam kwa mapenzi yake makubwa kwa Simba alikubali kubeba na tunamshukuru mno kwani bakora zingelika sana leo.
Hivi mkuu GENTAMYCINE haya unayoyaandika huwa ni ya ukweli au unatania?
 
Kipa asipotajirika kwa ofa alizotoa leo kwa simba sijui maana naona kuna dau zuri sana aliloandaliwa.
mkuu umeona goli la kwanza la mbao. Manyika nae ana dau analisubiri????
😉🙁😛
 
Back
Top Bottom