Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mbao walijidanganya kwa kulala lala hovyo ili kupoteza muda kumbe hawajui team inayosaka ushindi kwa hali na mali dakika za majeruhi ndio inacharuka zaidi maana hawana chakupotezaHujuma hizi dakika 7 duuh
Anyways imewa cost na Simba walipopata goal moja tu nilijua lazima watoe draw au washinde