HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Safi sana Mbao kwa kufungwa na Simba hakika kipa wenu ameonyesha ujuzi mkubwa kwenye goli la pili alilofungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyama Hata chuma anatafunahizi sio mbao hivi ni vyuma
Kajinyongesoka la bongo bana. simba kashinda eti
soka la bongo bana. simba kashinda eti
Endelea kutangazaKama kuna msichana shabiki wa SIMBA au ARSENAL hajaolewa,natangaza ndoa kwake.
Kwa uvumilivu huu naamini ndoa itadumu milele.
Kawaida mke hutangulizwa mbelesasa sikia sauti za mbwa koko zitakavyotoka mtaani kwa kukoswa koswa na kifo baw baw baw
Magoli nanimpira umekwisha
simba 3-mbao2
Mnyama katafuna mbaoNaserebuka mkuu,hakuna cha kuninyima furaha.
wewe usimwambie hivyo- atajinyinga kweliiii ooooooooKajinyonge