Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Safi sana Mbao kwa kufungwa na Simba hakika kipa wenu ameonyesha ujuzi mkubwa kwenye goli la pili alilofungwa
 
sasa sikia sauti za mbwa koko zitakavyotoka mtaani kwa kukoswa koswa na kifo baw baw baw
 
Simba walishanichefua pongezi sana na samahani kwa kuwatukana ila mnatutesa sana
 
Kaaaaaaaaa-mweeeeeee-[emoji344][emoji444][emoji443][emoji345][emoji446][emoji450][emoji449][emoji441][emoji442][emoji447][emoji448][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449]
 
Back
Top Bottom