Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

3bb7efd756d7d100c1f94058667e4df8.jpg
 
Fukuza bench I lote la ufundi hawasaidii timu kuna sababu ipi ya kumuanzisha Manyika au kuwaacha nje mavugo na ajibu na mkude kwenye mechi crucial Kama hi?
Hao wote ni wachezaji wa Simba.
 
Dakika 7 za nyongeza? Hii ni fitna na wameshapata walichokuwa wanakitaka.
 
Yule beki aliyeumizwa Ndikumana ameigharimu sana mbao,dah!

Eeh Mungu saidia mpira uishe kwa sare hii.
 
Labda zile 80M ndio zinafanya kazi sasa kama alivyosema HansPope.
 
Back
Top Bottom