ALIONGOZA yANGA NA REDCARD . akapigwa ukuni
Asante Mbao Bashite rApa
kuongoza 2 hadi DK 80 mnakuja kufungwa ama kweli nyie ni mabashiteeeRAPA[/]
Huu ni mpira wa karne ya nneKafara tulilolifanya hapo dakika 12 za mwisho ambazo ndizo zimetupatia huo ushindi ni balaa na kuna ' Kiongozi ' mmoja wa Simba alibeba ' mzigo ' na akasogea hapo karibu na Benchi la ufundi na baada ya goli la 3 kuingia ' Kazimia ' na sasa yupo chumbani anafanyiwa mambo yetu ya Kiswahili kwani Mbao FC wamefukia vitu vibaya sana hapo Uwanjani jana usiku. Viongozi wote wa Simba waliogopa kubeba huo ' mzigo ' ila huyo Kiongozi wa matawi wa Dar es Salaam kwa mapenzi yake makubwa kwa Simba alikubali kubeba na tunamshukuru mno kwani bakora zingelika sana leo.
Yanga mke au mchumba wa Simba na waarabu Hana madharaYaani Roma kaniudhi na sasa mbao wananifanya nilale mapema but niwakumbushe tu mikia Yanga hua hana mchezo mwishoni mwa ligi,hili mlikumbuke
PSG zilirudi kwenye match hiyo hiyo au kwa match ya marudio?Washangae pia PSG
Hapa ilikuwa ngapi ngapi? Kama nakuona ulivyonuna, Fanta unaiona kama club soda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ilikuwa ngapi ngapi? Kama nakuona ulivyonuna, Fanta unaiona kama club soda.
Mbao zimedoda...
Hivi mkuu GENTAMYCINE haya unayoyaandika huwa ni ya ukweli au unatania?
Faaaaa######laaaaa weeeerrNakusogezea live updates kutoka Mwanza CCM Kirumba katika ya Mbao FC vs Simba SC
======
MWANZA: Mchezo umekwisha na Simba wameibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mbao FC iliyokuwa inaongoza kwa goli 2 kabla ya mapumziko
Nb: Tff mukiipa point za bure Simba sc zidi ya kagera tutakata rufaa Fifa