[emoji126] [emoji23] [emoji126] [emoji23]Daah nahisi viashiria vya kubanwa na ngiri..Simba sijui kuna tatizo gani aisee..
Vipi tena serebuko lipoPoazzzzzz
Yani hapa nasubiri mpira uishe niweke somo niserebuke hadi mwili wote uchoke hahahahaaaaa
Ni raaaaaaaaahhhhha
Hivi hukuona ile post ya Genta aliyotoa mkwara kuhusiana na hii game?
Hahahahaaaaa
Naserebuka mkuu,hakuna cha kuninyima furaha.Vipi tena serebuko lipo