OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Tatizo lako hujui mpira halafu unapenda kuropoka nenda kashabikie netballGame za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C