Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

Hahahaaaaaa hongera mtani,tukutane hiyo kesho ushuhudie Mbeya wakifundishwa kabumbu [emoji4].
Sidhani na wala sifikirii kama kesho kuna ushindi kwa Yanga..kila nikiangalia upepo naona ngoma draw tu hah hah sitii neno tena yangu mie macho na masikio tu!
 
Naam...tukutane kesho mkuu,anza kutia ubani kabisa.
Kesho tena mkuu.... lazima tukimbize mwege.....Hawa Mikia kuongoza ligi mwisho kesho saa kumi.......
 
Mnyakyusa kesho anakufa. Tunashika usukani kama kawa.
 
Simba tunataka mcheze mpira hivyo si kulilia pointi za mezani!
Kwa sisi tunaojua kanuni na sheria za soka tunawaacha muongee..mkichoka mtanyamaza na points tatu tunachukua! Ngoja twende kwa watu wasiojua kupindisha sheria na kanuni za soka! Yanga mna matatizo nyie!
 
Back
Top Bottom