Tatizo lako hujui mpira halafu unapenda kuropoka nenda kashabikie netballGame za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
Mbona mtaelewa tu...Tanzania hii hakuna kama Simba..nyie wengine mbeleko na tunawajua hah hah kikubwa ubingwa mwaka huuGame za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
Hadi nimejitolea kuwapa Updates.... maana toka zile point za mezani zichache wamepoteana kabisa.Game za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
Ushuzi huwa unafungwa?Kuna timu nyingine sio za kushabikia kabisaaa mnafungwa ndan ya sekunde hiyo timu au ushuzi...
[quote uid=207619 name="Nifah" post=21048974]HT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.[/QUOTE]Apply u kochaTatizo lako hujui mpira halafu unapenda kuropoka nenda kashabikie netball
Apply u kocha[quote uid=207619 name="Nifah" post=21048974]HT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.
Mpwa hapa tu ndio tunapishana.Game za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
Ila mkuu ngoja tu nikupongeze. Wewe ni shabiki wa ukweli wa Simba na unajielewa sana.Mbona mtaelewa tu...Tanzania hii hakuna kama Simba..nyie wengine mbeleko na tunawajua hah hah kikubwa ubingwa mwaka huu
Shikamoo dada...............miss you. Nilikuwa nimehama nchi kidogoGame za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
Stand usiwasikilize hao Omba Omba FCStand Funga Hao Mikia Fc,
Ahsante Nifah..tupo pamoja..ubingwa mwaka huu sisi kama simba tumewagomeaaaa iwe isiwe, kumbuka una mbao lazima uchezee na kesho una-draw na Mbeya City..kazi ipo hapoIla mkuu ngoja tu nikupongeze. Wewe ni shabiki wa ukweli wa Simba na unajielewa sana.
Tumekuwa pamoja ktk mechi zote sijawahi kukuona ukipanick wala kutoa matusi.
Hongera
BTW ubingwa ni wetu Yanga,hilo halina ubishi [emoji4]
Hatuwezi kuwa sawa kote binamu [emoji24]Mpwa hapa tu ndio tunapishana.
Miss you more broh,welcome back bhana...Shikamoo dada...............miss you. Nilikuwa nimehama nchi kidogo