Naam...tukutane kesho mkuu,anza kutia ubani kabisa.Mpira umekwiiiisha. SIMBA 2- 1 STEND
Hahahaaaaaa hongera mtani,tukutane hiyo kesho ushuhudie Mbeya wakifundishwa kabumbu [emoji4].Hatimaye moyo wangu umetulia sasa...nasubiri anguko la mwafulani hah hah
Sidhani na wala sifikirii kama kesho kuna ushindi kwa Yanga..kila nikiangalia upepo naona ngoma draw tu hah hah sitii neno tena yangu mie macho na masikio tu!Hahahaaaaaa hongera mtani,tukutane hiyo kesho ushuhudie Mbeya wakifundishwa kabumbu [emoji4].
msimamo wa ligi kuu ukoje mkuuKesho tena mkuu.... lazima tukimbize mwege.....Hawa Mikia kuongoza ligi mwisho kesho saa kumi.......
Hongera Kwa kudanganywa Mkuu. Simba kapakatwa! Yaani Simba 1 - Stand 2 full time.Hatimaye moyo wangu umetulia sasa...nasubiri anguko la mwafulani hah hah
hah hah acha kuamsha waliolala mkuu..Simba yupo mawindoni muda huu! Taarifa zaidi ni kesho jioni hah hahHongera Kwa kudanganywa Mkuu. Simba kapakatwa! Yaani Simba 1 - Stand 2 full time.
Kwa sisi tunaojua kanuni na sheria za soka tunawaacha muongee..mkichoka mtanyamaza na points tatu tunachukua! Ngoja twende kwa watu wasiojua kupindisha sheria na kanuni za soka! Yanga mna matatizo nyie!Simba tunataka mcheze mpira hivyo si kulilia pointi za mezani!