Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Kwahyo baada ya kushinda leo ndo mmeisha chukua ubigwa? Aisee kweli aliyewaita mbumbumbu fc akukosea.
Kina kindokiWachezaji waliopo kocha kawakuta sio matakwa yake ngoja asajili mwenyewe ndo mtaelewa mziki.
Wachezaji waliopo kocha kawakuta sio matakwa yake ngoja asajili mwenyewe ndo mtaelewa mziki.
Endelea kujifariji na bakuli lako...Kwahyo baada ya kushinda leo ndo mmeisha chukua ubigwa? Aisee kweli aliyewaita mbumbumbu fc akukosea.
Hawa Yanga mwaka 1998 walimaliza na Point 2 kwenye kundi laoMliwahi kuwa na pesa kipindi cha Manji, mlifika wapi international level?
Siyo guarantee hiyo bosi, some coaches operate efficiently under small budgets.
Umesahau na aliyetoa assist ni yuleyule.Wanasheria wa Yanga wanaandaa rufaa kupinga ushindi wa Simba Feb 16, 2019.
Nadhani taratibu haziruhusu mchezaji mmoja kufunga goli moja kwa timu (Al Ahly) na kikundi chake cha ngoma (Yanga) kwa kutumia uwanja ule ule, wiki ile ile, mwezi ule ule, Mwaka ule ule, kipindi kile kile cha pili na kwenye goli lile lile.
Hii ni kama goli moja kuhesabika mara mbili, sheria haziruhusu. Haiwezekani goli moja lihesabike mara mbili kimataifa (al ahly) na ligi ya ndani (yanga).
Ubarikiwe nawe pia Beef Lasagna
Mkuu hata ingekuwa rufaa haijawahi kutokea matokeo ya mechi ya simba na Yanga yakabadilishwa kwa rufaa...nchi itachafuka