Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Mliwahi kuwa na pesa kipindi cha Manji, mlifika wapi international level?

Siyo guarantee hiyo bosi, some coaches operate efficiently under small budgets.
Hawa Yanga mwaka 1998 walimaliza na Point 2 kwenye kundi lao
Hivi karibuni wamewekwa kundi 1 na Gor mahia na Rayo sport lakini bado wakadebela... Maneno tu kimataifa hawana kitu
 
Wanasheria wa Yanga wanaandaa rufaa kupinga ushindi wa Simba Feb 16, 2019.

Nadhani taratibu haziruhusu mchezaji mmoja kufunga goli moja kwa timu (Al Ahly) na kikundi chake cha ngoma (Yanga) kwa kutumia uwanja ule ule, wiki ile ile, mwezi ule ule, Mwaka ule ule, kipindi kile kile cha pili na kwenye goli lile lile.

Hii ni kama goli moja kuhesabika mara mbili, sheria haziruhusu. Haiwezekani goli moja lihesabike mara mbili kimataifa (al ahly) na ligi ya ndani (yanga).
Umesahau na aliyetoa assist ni yuleyule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tuko imara
Hahahahaha.jpg
 
Timu bora imepata matokeo leo, vyura fc wako kimya, msumari mmoja tu umewatosha kwa leo, tukutane tena msimu ujao.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Timu bora imepata matokeo leo, vyura fc wako kimya, msumari mmoja tu umewatosha kwa leo, tukutane tena msimu ujao.
 
Back
Top Bottom