Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Unafafana na tundu ambalo mkia unaingia.
 
Siku ya kumbukumbu baada ya mwezi mmoja kupita.
Wana Yanga njooni tukumbushie tarehe ya Leo 16 ya mwezi wa pili baada ya kufungwa na mtani wetu simba.
Mi ka mwana Yanga lazima niikumbuke mana ni msimu wa tatu sijamfunga mtani wangu inauma saana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagere wa kimataifa yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…