Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Wachezaji wa simba VP mbona wanatuangusha yanacheza utafikil haya taki kugunga bn
Ndio maana huwa nasema chama ni mchezaji anayezingua sometimes. Yanga wamekuja kuzuia na kufanya mashambulizi ya kushtukiza, sas chama unakuta tunaenda kushmbulia yeye anarudisha mpira kwa mabeki, yanga wanajaa nyuma tunashindwa kupita. Cha pili , kocha wetu kakosa mbinu ya mchezo, pasi fupi fupi zimeonekana kutosaidia, so kocha lazima abadili gem plan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha hajui mpira mwingine zaidi ya slow na pasi fupifupi, anaboa ile mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Simba mnazimiaje mapema hivi lakini?

Na mie niko hapa
20190216_165449.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio simba

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huwa sijisimbui kwenda uwanjani mechi za simba cs yanga. Huwa zi aboa. Hata kipindi yanga iko juu mechi hii ilikuwa ujinga tu.
 
Mpira wetu bado sana,, mipira inapotea hovyo hovyo, hakuna viungo wazuri wa kupiga pasi za mwisho, refa anaacha kutoa kadi kwa rafu zinazostahili kadi..zaidi sana timu.zetu.zinacheza mpira wa kufurahisha jukwaa, chenga, pasi fupi za hovyo.. tuwe na akademi nyingi za kuandaa na kuwakuza wachezaji ili waujue huu mchezo ipasavyo..mpira umebadilika sana ila sisi bado tunacheza soka la karne ya 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom