Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,226
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya mpira bhana huwezi kuhama timu yako hasa hizi za Kkoo hata ifungwe vipi daah ila inauma wanayanga wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema?!!
Mwambieni kuwa tayari yanga 0-simba1, mbona kapotea na update zakeShabiki wa Yanga umeanzisha uzi, nina hakika ndani ya dk 10 za mechi utakuwa umekimbia kutupa updates. Dakika ya 30 hutaonekana hata kusoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepasua kideo
Dakika ya ngapi mkuuHuyu Kagere atawatia mimba ya Pili hawa [emoji196] [emoji196][emoji196]
Waarabu weusi