Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi mvua ilinyesha?Mvua tu ikinyesha dagaa Yanga tumeumia ila kama haijanyesha Simba kwisha habari yake... Naomba mje mniprove wrong baada ya mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo simba wanapiga mpira sana mpaka wanakera
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mvua tu ikinyesha dagaa Yanga tumeumia ila kama haijanyesha Simba kwisha habari yake... Naomba mje mniprove wrong baada ya mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani 45 minutes no shot on target for Simba and these are the internationals we have.
ShemelaaaaaaMashabiki wote wa yanga wanasema mechi ngumu
Sisi simba tunasema washakaa
No shot on target.
Ally salum anaonekana ndio bora zaidi ya kina chama.
Ni vigumu kutokea