Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji44][emoji44]Muda wa kulala bado aiseeeNaondoka muda si mrefu swahiba. Bado dkk chache tu nikalale. [emoji3][emoji3]
6DK528TK2RH Imethibitishwa. KAGERA SUGAR amepokea 00000000000000.00 tarehe 20190420142008.
Kwani kimetokea kitu gani??? mbona comments humu sizielewi??!!
Daaah Leo omba omba mmepata pakuhemea[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] mikia leo wamepigwa katerero moja matata sana.
Hawa Kagera sugar mechi ya 2 pale morogoro Simba watalipa kisasiNiliandika humu mechi 2 ngumu kwa mikia Kati ya saba ni Kagera na Biashara.. Mikia walinitukana .
Wamekimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kama hawapo leo. Wametulia tuli.
Furaha hii ungekua nayo jana bila shaka ungevunja miko kwa kula nyamaNimefurahi sana,Pasaka imeanza vzr sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Darasani mwalimu anaweza akakupa quiz,, katika maswali kumi ukapata nane mawili ukakosa halafu mwalimu akakusaishia na akakuwekea vema hapo anakupa moyo kua ongeza bidii sio kwamba umefaulu
Hicho ndicho tulichomfanyia kagera
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu,pole sanaFuraha hii ungekua nayo jana bila shaka ungevunja miko kwa kula nyama
6DK528TK2RH Imethibitishwa. KAGERA SUGAR amepokea 00000000000000.00 tarehe 20190420142008.
Ni siku nzuri sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ngoja niandae fedha ya a bottle of wine for tomorrow...tehtehteh, Leo siku nzuri sana kwa kweli......
Kuna mtu kakalishwa huko. Mtandao ulikuwa chini hivyo kaangukia pua.
Hahahhaha, wameliwa bila chumvi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kama hawapo leo. Wametulia tuli.
Sisi ndio walimu kagera ni wanafunzi so tumewapatia vema ingawa hawakustahiliswali hilo hilo kila siku unakosa kwenye quiz(kagera kila msimu anakupiga)[emoji23][emoji23][emoji23]
basi mkawa vilaza
Hahahaaa. Kazi wanayo.Tehtehtehteh,,,na bado..Jumatatu na Alliance halafu sijui na nani tena baada ya siku mbili...
Hii ya juu zilipendwa Swahiba.Mtibwa Sugar 1 Yanga 0
Kagera Sugar 2. Simba 1
Sioni sababu ya Yanga kumcheka Simba wakati wote mmekula Miwa