Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Naona tu kwa stts watu wameweka sukari kumbe ndio maanaHahaaaa. Dada nasikia mumelambishwa sukari eti. [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tu kwa stts watu wameweka sukari kumbe ndio maanaHahaaaa. Dada nasikia mumelambishwa sukari eti. [emoji3]
Povu wewe bila mlungula hutembei.Jibu swali we Mrembo. Nauliza mlivyo kojolewa kimoja pale kwa Mchina mlikuwa nshatanguliziwa muamala mpaka mkaachia?
Tangu lini ukawa na busara hizi au ndiyo kujikaza kisabuni kwa yaliyokukuta[emoji848][emoji87]Msiba wa tajiri huambatana na vicheko vya furaha, ila kwenye msiba wa maskini ukicheka tu watasema wewe ndiye uliyemuua marehemu
Mkuu vipi? Lete mrejeshoHata Nkana FC,AS Vita,Coastal Union walitangulia kutufunga lakn walinywea....
Tutawafunga tu sina wasiwasi
Pole sanaKila la kheri Simba
Tangu lini ukawa na busara hizi au ndiyo kujikaza kisabuni kwa yaliyokukuta[emoji848][emoji87]
Watani zangu Van pebles ,100 Likes , Mtoto halali na hela, King Ngwaba, Sanchez magoli, Dada wa mie Shunie nawasalimia jamaani kwa jina la KAGERA Teh teh.
Kagera hawajawahi kutuangushaKagera wakifanikiwa kukamatia hapo nitajisikia burudani na sikukuu hii.
Kagera msiniangushe
Mungu tusaidie Simba ,Simba nguvu moja
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa kabisa.Kagera hawajawahi kutuangusha
Wanafurahi kama wamebeba ubingwa..Vyura bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamepiga MTU Katerero, hatari hana hamuHahaa ndo mana nikacheka mkuu mana nawafahamu vyema
Vipi bado tu mapema mpaka sasa?Acheni kelele.bado mapema
Yanga ndio timu yenye kikosi chenye uwezo wa kushinda.. Simba hadi M-pesa sioNetwork ya mpesa na mitandao mingine ilizimwa hapa Bukoba,Asante Tcra kwa ushirikiano
Mngekunywa Mo energyTimi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia
Pasaka ishaharibika *****