3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Ulikuwa bize kufatilia CCL sababu ya Simba.. YES WE CAN imetufikisha robo fainal hata ZAhera anajuaNyie mlilishwa uzuzu na manara eti yes we can na nyie mbumbumbu mkakubali tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa bize kufatilia CCL sababu ya Simba.. YES WE CAN imetufikisha robo fainal hata ZAhera anajuaNyie mlilishwa uzuzu na manara eti yes we can na nyie mbumbumbu mkakubali tu
Sumu mlizokuwa mnapuliza na ndumba ndo zimewafikishaUlikuwa bize kufatilia CCL sababu ya Simba.. YES WE CAN imetufikisha robo fainal hata ZAhera anajua
Kama ni sumu CAF watufungie kushiriki.. soka ni burudani, hapo kwenye ndumba Yanga wanarukaga ukuta, hata Ajibu anajuaSumu mlizokuwa mnapuliza na ndumba ndo zimewafikisha
Poleni sana watani,naona kipigo heavy cha leo kimewachanganya,hapo utasikia tumefikia malengo ya kumfunga Coastal union lakini Kagera sugar tulikwa 50/50 sijui eti na uchovu.Kama ni sumu CAF watufungie kushiriki.. soka ni burudani, hapo kwenye ndumba Yanga wanarukaga ukuta, hata Ajibu anajua
Hahaaa... Kagera kila Mwaka lazima ajitafunie Bi Kidude Sunbathing[emoji38]Network ya mpesa na mitandao mingine ilizimwa hapa Bukoba,Asante Tcra kwa ushirikiano
Network ya mpesa na mitandao mingine ilizimwa hapa Bukoba,Asante Tcra kwa ushirikiano
Ligi mbichi Simba wanamichezo mingi kuliko timu ya walalahoi wananchi wanaoichangia buku buku n.k
Kwa kujitoa ufahamu mnaongozaHivi yule kocha kumbe ni wakagera!!! Mimi nilijua zuhura maana kwa kulalamika yule ni hatari
Ha ha ha! Eti tumefikia malengo........ baada ya kufungwa na Mazembe walituimbia haka ka wimbo!Poleni sana watani,naona kipigo heavy cha leo kimewachanganya,hapo utasikia tumefikia malengo ya kumfunga Coastal union lakini Kagera sugar tulikwa 50/50 sijui eti na uchovu.
Leo imekuwaje kuwabeba?... Mmelishwa ujinga na Zahera mnasahau timu yenu haiko vzr msimu huu
Hahaaa... Kagera kila Mwaka lazima ajitafunie Bi Kidude Sunbathing[emoji38]
Ndiyo mkuu,hawakosagi visingizio[emoji3][emoji3]Ha ha ha! Eti tumefikia malengo........ baada ya kufungwa na Mazembe walituimbia haka ka wimbo!
Matusi yatawapa ubingwa...Wacha utaira wewe, hukuona refa alichokuwa anafanya, zimeongezwa dk 5 yeye kachezesha 8, hizo 3 za ziada alikuwa anazitoa wapi? Alafu anawapa faul za kubumba nyie Mikia hadi mkapata kagoli ambako hata hakakuwasaidia, kusema ukweli Jana Mission yenu imefail KATERERO wakubwq nyie, na bado