Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia KATEREROOO, HUjue Mikia haoSisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. 😅😅😅😅😅
Hata Zahera anajua ubingwa hapati.. hawa wabeba bakuli wanapunguza mawazo tu.Simba Nguvu Moja Daima. Matokeo yoyote ya mechi zetu lazima tuyapokeee Ubingwa uko pale pale wala msihofu.
Timu gani ikatae rushwa kama Yanga aliuza ...Simba timu ya ovyo tu...timu nyingine zingekua zinakataa rushwa kama kagera basi simba angekua na point 35 tu
Nakuambia wanavua hadi mashati humuDaaah Leo omba omba mmepata pakuhemea
Kelele Leo hatulali
Si unajifanyaga hutoi taarifa, basi sikualiki.Dadaaaa. [emoji85][emoji85] Sijambo sijui wewe?
Nasubiri mwaliko tu hapa. [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mngekunywa Mo energy
[emoji23][emoji23][emoji23]Mngekunywa Mo energy
Kwa sababu ya Simba sio?Hujakosea mkuu relax kabisa"Hakuna refa hata moja mkuu aliechaguliwa na CAF" from home Tz for Afcon.
Leo imekuwaje kuwabeba?... Mmelishwa ujinga na Zahera mnasahau timu yenu haiko vzr msimu huuUko sahihi kabisa...marefa wengi wanaibeba Simba kutokana na rushwa...Ndiyo maana hakuna refa (kama sijakosea) kutoka Tanzania ambaye ameteuliwa kuchezesha huko kwenye michuano ya AFCON kule Misri...Wewe fikiria yule kibendera wa mechi ya Yanga na Mtibwa pale Morogoro alivyolikataa 'bao' 'halali' la Yanga kwa kisingizio eti ni offside...hovyo kabisa......
Yanga mlikula mhamala wa Simba sasa mmemaliza mnatoa macho tuMakelele FC bila mihamala ni walaini kama kupuliza pumba kwa mdomo[emoji23]
Nyie mlilishwa uzuzu na manara eti yes we can na nyie mbumbumbu mkakubali tuLeo imekuwaje kuwabeba?... Mmelishwa ujinga na Zahera mnasahau timu yenu haiko vzr msimu huu
Timi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia
Pasaka ishaharibika *****
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Mngekunywa Mo energy