Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Hii la kudhani simba itashinda viporo vyote wasahau, wakati yanga wanabebanishwa mechi mara tanga singida tena tanga mliona raha eti na bado
 
Watoto wa Daslaam wakiambiwaga "KIPORO", picha wanayo pata ni Kiporo cha Wali tu....!!

Hawajui kama kuna Kiporo cha Muhogo, Ugali, Mihogo na hata Kiporo cha Ndizi/Matoke...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ligi mbichi Simba wanamichezo mingi kuliko timu ya walalahoi wananchi wanaoichangia buku buku n.k
 
Poleni sana watani,naona kipigo heavy cha leo kimewachanganya,hapo utasikia tumefikia malengo ya kumfunga Coastal union lakini Kagera sugar tulikwa 50/50 sijui eti na uchovu.
Ha ha ha! Eti tumefikia malengo........ baada ya kufungwa na Mazembe walituimbia haka ka wimbo!
 
Wacha utaira wewe, hukuona refa alichokuwa anafanya, zimeongezwa dk 5 yeye kachezesha 8, hizo 3 za ziada alikuwa anazitoa wapi? Alafu anawapa faul za kubumba nyie Mikia hadi mkapata kagoli ambako hata hakakuwasaidia, kusema ukweli Jana Mission yenu imefail KATERERO wakubwq nyie, na bado
Leo imekuwaje kuwabeba?... Mmelishwa ujinga na Zahera mnasahau timu yenu haiko vzr msimu huu
 
Sijui yanga wanafuraia nini? Wamejitoa ufahamu kwamba simba bado inamechi nyingi na zakutosha kuipa ubingwa asubuitu? Wamesahau kwamba wao wamebakiza mechi 7tu ni hajabu kuchekelea simba wakati kwao ubingwa hawata upata hata kwa dawa.
 
Tofauti ya hizi timu mbili Ni kuwa Simba inapofungwa kocha wake anakubali matokeo na kuipongeza timu pinzani.
Yanga ikifungwa kocha wake hakubali matokeo na anaishutumu TFF na Clabu ya Simba, kwa kuifungisha timu ya Yanga.
 
Wacha utaira wewe, hukuona refa alichokuwa anafanya, zimeongezwa dk 5 yeye kachezesha 8, hizo 3 za ziada alikuwa anazitoa wapi? Alafu anawapa faul za kubumba nyie Mikia hadi mkapata kagoli ambako hata hakakuwasaidia, kusema ukweli Jana Mission yenu imefail KATERERO wakubwq nyie, na bado
Matusi yatawapa ubingwa...
Simba anabebwa , Yanga anashinda kihalali.
Ndio wimbo wenu.
 
Back
Top Bottom