Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

swali hilo hilo kila siku unakosa kwenye quiz(kagera kila msimu anakupiga)[emoji23][emoji23][emoji23]

basi mkawa vilaza
Darasani mwalimu anaweza akakupa quiz,, katika maswali kumi ukapata nane mawili ukakosa halafu mwalimu akakusaishia na akakuwekea vema hapo anakupa moyo kua ongeza bidii sio kwamba umefaulu

Hicho ndicho tulichomfanyia kagera
 
6DK528TK2RH Imethibitishwa. KAGERA SUGAR amepokea 00000000000000.00 tarehe 20190420142008.

Ngoja niandae fedha ya a bottle of wine for tomorrow...tehtehteh, Leo siku nzuri sana kwa kweli......
 
Mtibwa Sugar 1 Yanga 0

Kagera Sugar 2. Simba 1

Sioni sababu ya Yanga kumcheka Simba wakati wote mmekula Miwa
 
swali hilo hilo kila siku unakosa kwenye quiz(kagera kila msimu anakupiga)[emoji23][emoji23][emoji23]

basi mkawa vilaza
Sisi ndio walimu kagera ni wanafunzi so tumewapatia vema ingawa hawakustahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…