Yakikombolewa ndio watauona huu uzi tena wakija watakuja na povu la kufulia mablanketi. Teh tehHahahaaa, kama hawaoni...
Tupo ushindi lazima, in Tanzania one we trustZamu yao. Hahahaaa.
Wanapita kimya kimya game ikiisha ndio watakuja kujibu. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jibu swali we Mrembo. Nauliza mlivyo kojolewa kimoja pale kwa Mchina mlikuwa nshatanguliziwa muamala mpaka mkaachia?Tulia ww mama hindu fc mkojozwe
Watakombowa vipi wakati second half ikianza tu Simba wanapigwa bao la tatu kwa style ya katerero?Yakikombolewa ndio watauona huu uzi tena wakija watakuja na povu la kufulia mablanketi. Teh teh
Kati ya Simba na Yanga ni timu gani masikini?Maskini simba
Kuna aina nyingi za maskiniKati ya Simba na Yanga ni timu gani masikini?
Sawa mtani. Time will tell.Tupo ushindi lazima, in Tanzania one we trust
Ikiwa hivyo itakuwa poa zaidi.Watakombowa vipi wakati second half ikianza tu Simba wanapigwa bao la tatu kwa style ya katerero?
Hahahaaaaaa. Nacheka kwa Sauti.Kagera wakifanikiwa kukamatia hapo nitajisikia burudani na sikukuu hii.
Kagera msiniangushe
Ludi play store itakuletea option ya update azam tv app. Ukimaliza update itakwambia open, ukifungua italeta option kazaa chini chagua TV live, ukibofya italeta sehemu ya kuweka email yako au namba ya simu yako na password, kama ujawai kujisajili kuna sehemu imeandikwa register. Bonyeza kwenye register utaweka namba yako ya simu na kuweka password,ila kuweka namba ya simu akikisha unaanza na country code alafu kwenye namba yako ile zero usihiweke yani kama 0754 baada ya country code 255 utafata 754 badala ya 0754 from there submit kila kitu kitakuwa sawa no scrach wala chenga.hawa waseng tu nimejaribu chaneli zote zina unesha lakini ukifika azam sports 2 inagoma aifungui kabisa
Yani Mungu aingie uwanjani? Acheni kumkufuru Mungu.Mungu tusaidie Simba ,Simba nguvu moja
Sawa. π π πSimba anakuja kupindua matokeo kama ajax
Kama zipi? Husianisha huo umasikini na Simba Sc.Kuna aina nyingi za maskini
Wajue kuwa sio kila kiporo kinapashwa kikapashika na kulika.Hahahaaaaaa. Nacheka kwa Sauti.
Wasituangushe jamaani.
π π π π π noma sana.Yani Mungu aingie uwanjani? Acheni kumkufuru Mungu.