Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

hawa waseng tu nimejaribu chaneli zote zina unesha lakini ukifika azam sports 2 inagoma aifungui kabisa
Ludi play store itakuletea option ya update azam tv app. Ukimaliza update itakwambia open, ukifungua italeta option kazaa chini chagua TV live, ukibofya italeta sehemu ya kuweka email yako au namba ya simu yako na password, kama ujawai kujisajili kuna sehemu imeandikwa register. Bonyeza kwenye register utaweka namba yako ya simu na kuweka password,ila kuweka namba ya simu akikisha unaanza na country code alafu kwenye namba yako ile zero usihiweke yani kama 0754 baada ya country code 255 utafata 754 badala ya 0754 from there submit kila kitu kitakuwa sawa no scrach wala chenga.
 
Back
Top Bottom