Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Hakuna shida, mechi nne tu tunachukua ubingwa
 
Timi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia

Pasaka ishaharibika *****
 
Manara na wenzie walidhani mambo yatakuwa mepesi hawakutanguliza muamala, ndio wameshtuka mwishoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo dakika 5 kila dakika ni 1Mil
Wamefanya Transaction half tym...walifikiri itakuwa poa poa tu kama Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…