Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua tu wameshapigwa KatereroKwani huo mpira haujaisha tu wajameni? Wengine tumeshikilia shampeni [emoji898] hapa tunataka tuanze sikukuu mapema. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mpira umekwisha
Hahahaaaa. Haya tuanze kuifurahia Sikukuu Shoo mpira ushakwisha.Manara na wenzie walidhani mambo yatakuwa mepesi hawakutanguliza muamala, ndio wameshtuka mwishoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo dakika 5 kila dakika ni 1Mil
Lazima mkate rufaa tena maana kagera wamemchezesha mchezaji na kadi tatu za njanoLeo tarehe 20/04/2019 kituo ni Bukoba. Wale wanazi wa Mnyama tupeane update pls
Dkk ya 17. Kagera 1 Simba 0
Mfungaji Kapella.
Dkk ya 41 Kagera 2 Simba 0
Mfungaji Ramadha KAPELLA
Kagera 2 Simba 1
Network hapa Bukoba ilikuwa down sana leoBila shaka M pesa Kagera leo ilikuwa haifanyi kazi...
Mfyuuu zenu Mikia.
Mlizoe bebwa.. Sasa tamabeni na Ligi mamaakee
Dakika ngapi zimebakia?Mo atakuwa mwekundu leo.Sisi walituita KAMWENE nawaza tu baada ya hapa ikitokea kakalishwa tuwaiteje hawa Mikia. 😅😅😅😅😅
Wamefanya Transaction half tym...walifikiri itakuwa poa poa tu kama Tanga.Manara na wenzie walidhani mambo yatakuwa mepesi hawakutanguliza muamala, ndio wameshtuka mwishoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo dakika 5 kila dakika ni 1Mil
Ngoja mhaya aje atupe neno hapa nadhani ni Waguma😁😁Sisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. 😅😅😅😅😅
Full timeDakika ngapi zimebakia?Mo atakuwa mwekundu leo.
Wamewezwa. Wakamwage tu kiporo chao maana kimechacha hiki leo.Network hapa Bukoba ilikuwa down sana leo