Naona unatuhamisha Mtani.Sawa
Ila ukiangalia vizuri hapo kwenye box hamna msimba wala buku 5 zaidi ya vi buku buku na ukicheki ngoma bado haijajaa ndo kwanza hata robo haijafikaView attachment 1076715
Ila swala la Ubingwa sahau kabisaYaani. Acha tu Swahiba.
Nafanya maandalizi hapa. [emoji3][emoji3]
Anhaaa yuko kwenye matawi ya mwishoni soon ataibusu ardhi
Nacheka tu leo. 😅😅Wachezaji walishazoea kucheza saa 8 mchana ratiba ikabadilishwa ghafla
Nguvu ya buku tu itatufikishaSawa
Ila ukiangalia vizuri hapo kwenye box hamna msimba wala buku 5 zaidi ya vi buku buku na ukicheki ngoma bado haijajaa ndo kwanza hata robo haijafikaView attachment 1076715
😁😁😁😁Wachezaji walishazoea kucheza saa 8 mchana ratiba ikabadilishwa ghafla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inaonekana mtandao haukwa mzuri wa vodacom,Tigo,Hallopesa,nadhani watajilaumu maana hawakujaribu tena[emoji23][emoji23].Manara na wenzie walidhani mambo yatakuwa mepesi hawakutanguliza muamala, ndio wameshtuka mwishoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo dakika 5 kila dakika ni 1Mil
Kuumbe. Ushasahau mwaka jana ile game ya mwisho alikufanya nini.Kunguru akimnyea binadamu haimaanishi kua kunguru anashabaa
Kagera wanajipigia tuNa mwaka jana si ndio hawa hawa waliwakalisha mbele ya Jiwe? 😅
Hilo ni box la maji madogo lakini pesa zilizomo hata robo hazijafika ukicheki kwa umakini hata kidaka hamna wala msimba halafu mnajinadi kua timu ya wananchiNaona unatuhamisha Mtani.
Kweli mkuu nimekwama hapa Bukoba japo hela ninayo kwenye Simu network haisomi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inaonekana mtandao haukwa mzuri wa vodacom,Tigo,Hallopesa,nadhani watajilaumu maana hawakujaribu tena[emoji23][emoji23].
Kama mshaanza hivi si ajabu mkauwacha pia. Na hasa nikikumbuka lile lalamiko lako kama sijakosea la mechi 7 within 15days.Ila swala la Ubingwa sahau kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inaonekana mtandao haukwa mzuri wa vodacom,Tigo,Hallopesa,nadhani watajilaumu maana hawakujaribu tena[emoji23][emoji23].
Hujambo we mtoto[emoji85][emoji85][emoji85]Nacheka tu leo. [emoji28][emoji28]
tuwaite sukari ya KKSisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
6DK528TK2RH Imethibitishwa. KAGERA SUGAR amepokea 00000000000000.00 tarehe 20190420142008.Kwani kimetokea kitu gani??? mbona comments humu sizielewi??!!
Timu ya simba inautajiri wa bilion na point zake hivyo wanaitwa mabilioneaNguvu ya buku tu itatufikisha
Hahaaaaa,Kweli mkuu nimekwama hapa Bukoba japo hela ninayo kwenye Simu network haisomi kabisa
Naona Binamu umejitowa leo. 😀😀Ha ha ha ..Waite " WAKORA "