Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hakuna shida, mechi nne tu tunachukua ubingwa
Nyie mkifungwa haina shida, tufungwe sisi ndio sherehe.
Mungu Mkubwa sana, mmefungwa wakati wa sherehe sasa hahahhhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida, mechi nne tu tunachukua ubingwa
Simba ikishinda mpesa imefanya kazi, ikifungwa haina kiwangoBila shaka M pesa Kagera leo ilikuwa haifanyi kazi...
Mfyuuu zenu Mikia.
Mlizoe bebwa.. Sasa tamabeni na Ligi mamaakee
Mpira umekwisha Dada.Dakika ngapi zimebakia?Mo atakuwa mwekundu leo.
Swahiiiibaaaaaa. 😅😅😅😅😅Wametupiga Katerero Hawa wapuuzi
Weekend ishaharibika
KWahiyo Yanga tunatumia injini sio...!?Timi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia
Pasaka ishaharibika *****
Kikosi chenu kipana sana,next kirumba baada ya masaa 72Timi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia
Pasaka ishaharibika *****
unasema????[emoji101]Hata Nkana FC,AS Vita,Coastal Union walitangulia kutufunga lakn walinywea....
Tutawafunga tu sina wasiwasi
Swaibu tulia Kwanza kelele nyingi sikusikiiSwahiiiibaaaaaa. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dkk imefika ya 7. Aiseeeeeee
Network ya mpesa na mitandao mingine ilizimwa hapa Bukoba,Asante Tcra kwa ushirikianoSimba ikishinda mpesa imefanya kazi, ikifungwa haina kiwango
Kweli katika maendeleo yako sio wote watafurahia lazima kuwe na watu wakukunja kama wewe
Haya kunywa maji kwanza Swahiba utulize koo. 😅😅Swaibu tulia Kwanza kelele nyingi sikusikii
Ulikuwa unasemaje
Mwanza na Allieance tunawapiga za kutosha kutoa hasiraKikosi chenu kipana sana,next kirumba baada ya masaa 72
Sawa.Hata Nkana FC,AS Vita,Coastal Union walitangulia kutufunga lakn walinywea....
Tutawafunga tu sina wasiwasi
Ha ha ha ..Waite " WAKORA "Sisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. 😅😅😅😅😅
Na bado. 💃💃Timi inaonekana imekosa energy nadhani uchovu umechangia pia
Pasaka ishaharibika *****
Wabonaki.Sisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. 😅😅😅😅😅
Hi mechi Bora ingechezwa saa 8 mchanaHaya kunywa maji kwanza Swahiba utulize koo. [emoji28][emoji28]