Haya. ππHahaha.
Sitokimbia.
I promise.
Labda kama mtashinda na njaa
Haya mtani vumbi LA Congo linakusubiri
Na wewe!Timu yenu na nani?
Umewasoma eehHahaaaa. LOL
Atatoweka gaflaMkuu Joseverest fanya kuleta update za simba vs as vita ikiwezekana
Ushindwe na ulegee na uchawi wako.Na wewe!
Kocha ovyo sana huyu,nilisema huyu kocha haipendi yanga ni mnafiki tu.Yuko Dar na vital kisa simba tufungwe.Mna focus na Simba mpaka mnasahau timu yenu, Zahera yuko Dar timu iko Iringa Leo hamtoki!!!
Watapunguza makelele kwenye matokeo yetuNiko Meku.
Nimefurahi sana hawa machura kulipuliwa na Lipuli.
Haya. ππ