Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Yanga muone Mnavyoendeshwa na Zahera. Yani anaacha timu anaenda kwenye kua na timu nyingne, sasa mmefungwa Lipuli

Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI NYIE MIKIA HUYO ZAHERA HUKO VITA MLIMPELEKA NYINYI

ACHENI KUONGEA VITU AMBAVYO HAMNA USHAHIDI

TUKUTANE SAA 1 KWA MKAPA
AWE ZAHERA ASIWE ZAHERA ILA MJUE ROBO FAINALI MTAISIKIA KWENYE BOMBA
 
Kwa kuwa wewe ni shabiki wa Mkia Fc haujui tunachopata... Kwa hiyo haikuhusu, subirieni kuchinjwa saa moja kwa mchina


Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Roho mbaya tu,tukifuzu hapa tunakuwa tumewabeba nye, nye mmepoteza leo ni faida kwetu, nye mnatuhitaji ila sisi hatuwahitaji kwa lolote maana kwenye hizi game nye hamna faida kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom