Usijali tuonane baada ya hizo dakika. Usisahau kunitag.
Washahama hata hapa nilipo wamerudi majumbaniWanachura wamelala mapema sana leo.
HONGERA ZENU. πππNimerudi, nimeshinda bibie
Baada ya nyie kukomboa tu nikaamua kualala bana. Kumbe mlishinda.Umekimbia mpenzi? Nipe haki yangu please.
Haki yenyewe in hongera π
Wanachura wamelala mapema sana leo.
Saweni tu.
HAKUNA CHA AJABU JAMAANI. KHAAA.
Kwa kuwa wewe ni shabiki wa Mkia Fc haujui tunachopata... Kwa hiyo haikuhusu, subirieni kuchinjwa saa moja kwa mchina
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Mmh. Naona ushafika Mtani.Kweli ukishazoea kufungwa inakuwa si ajabu.... Maana na simba walifanya yao hapo kwenu...kimoja tu cha mkwezi...
Muwe mnaangalia vya kushabikiaSaweni tu.
Mmh. Naona ushafika Mtani.
Mmh. Naona ushafika Mtani.
Nishapoa aiseeee. Maana nilijua chozi langu ningelifuta kwa Mkapa halafu ikawa kinyume cha matarajio.Nmefika ndo nmeingia asubuhi hii nikitokea IRINGA NA KUPITIA TAIFA... Uhali gani nawe? Pole sana.usijali lakini samaki huwa hachinjwi anatolewa kwenye maji tu baada ya hapo anaandiliwa kwa ajili ya kuliwa...
Naweza leo kukuona angalau nikufute machozi maana jana ni moja ya siku mbaya sana kuwah kutokea maishani mwako..
Nishapoa aiseeee. Maana nilijua chozi langu ningelifuta kwa Mkapa halafu ikawa kinyume cha matarajio.
Hahahaaa. Yashaisha Majonzi Mkuu naganga yajayo sasa.
Hahaaaa. lol.Muwe mnaangalia vya kushabikia
MTASEMA YOTE, KILA LA HERI LE TUPWISA MAZEMBENdo madhara ya kubemendwa ukiwa mdogo...hayaishi.πππ