Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Hahaaaa. Haya bana Mtani japo nyie mmezidi kwa maneno za Shombo.

Hivi unajua nyie na Muro wenu ndiyo mlianzisha majina ya Mikia FC, Mbumbumbu FC, mara mnajiita wa kimataifa nk.

Sisi tumetumia ile ya "akuanzae mmalize".
 
Hivi unajua nyie na Muro wenu ndiyo mlianzisha majina ya Mikia FC, Mbumbumbu FC, mara mnajiita wa kimataifa nk.

Sisi tumetumia ile ya "akuanzae mmalize".
Lakini licha ya kuitwa hivyo Mtani walioyaanzisha si wenzenu humo humo kama hiyo Mbumbumbu chanzo si Rage au umesahau jamaanj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…