Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #221
woiiii hata nyie mlikula kimoja, tundu limetobolewa japo mmepita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
woiiii hata nyie mlikula kimoja, tundu limetobolewa japo mmepita
iliwezekana bila shaka ulifurahia mtaniMkuu Joseverest fanya kuleta update za simba vs as vita ikiwezekana
hahahahaha adui tunamuombea njaa siku zote
waache wapite hivi, hao hawana ushindani
yaani acha tu hawa watani sijui wapojeHalafu wanakuwaga na POVU hasa.
Si saa hizi tumestaarabika ila subiri zamu yao uone walivyo na maneno za Shombo
sasa ni kitu cha ajabu kufungwa?
tuko pamoja mtaniNi
Nimependa unavyouelezea mtanange huu, kila la heri Lipuli FC
pamoja kiongozi wangu aisee
daah haya aiseeKila la kheri Lipuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii hata nyie mlikula kimoja, tundu limetobolewa japo mmepita
Wamezowea zile kauli za Vijiweni. 😅😅yaani acha tu hawa watani sijui wapoje
Hamna kitu ka iko Mtani. Aliyestaarabika kastaarabika tu hata awe na hali gani.
Hamna kitu ka iko Mtani. Aliyestaarabika kastaarabika tu hata awe na hali gani.
Hahaaaa. Haya bana Mtani japo nyie mmezidi kwa maneno za Shombo.Wanasema pata hela tujue tabia yako, ninyi hawa hawa wa Manji madawa ndo mumestaarabika. Semeni mkwanja hakuna.
Na mwaka huu mtateseka sanaHahaaaa. Haya bana Mtani japo nyie mmezidi kwa maneno za Shombo.
Hahaaaa. Haya bana Mtani japo nyie mmezidi kwa maneno za Shombo.
Lakini licha ya kuitwa hivyo Mtani walioyaanzisha si wenzenu humo humo kama hiyo Mbumbumbu chanzo si Rage au umesahau jamaanj.Hivi unajua nyie na Muro wenu ndiyo mlianzisha majina ya Mikia FC, Mbumbumbu FC, mara mnajiita wa kimataifa nk.
Sisi tumetumia ile ya "akuanzae mmalize".
Lakini licha ya kuitwa hivyo Mtani walioyaanzisha si wenzenu humo humo kama hiyo Mbumbumbu chanzo si Rage au umesahau jamaanj.
Kwani Simba hana Mkia Mtani?Mikia FC je?